@amina_hafidh Hata muarabu kafiri humfikii kwakujua Dini ya kiislam....
Yaani sanamu achonge yeye halafu ulijue wewe mtumwa wake...
Acha vichekesho....
@DrCyrilo Uchaguzi wa2019/2020 ndio uchaguzi pekee ambao wapinzani mlishindwa kweli kwa asilimia kubwa na msingeweza kushindana na mioyo ya watanzania....
@GamerReaga92823@moussamosses@INFLUENCERjr Hamna shukrani nyie binadamu....
Hata Mungu mnamlalamikia isitoshe binadamu kama JPM atafanya nini mrizike....
Tujifunze kurizika kwa kidogo tulichokipata..
@rose_mayemba Mimi na akili zangu timamu siwezi kuchagua chama chenye vilaza kama wewe.....
Bora nisipige kura ccm waendelee kutawala kuliko kuwa na mtazamo mmoja wa kisiasa na kiazi kama wewe....
Unaongea pumba sana..
Hata kama kuna uhuru wa kuzungumza wewe ningekufungia unaeneza pumba....
@MsomiKhan18 Vyote hatari mkuu.....
Bangi ina psychological effects nyingi kuliko physical effects...
Sigara ina physical effects nyingi kuliko psychological effects...
Utachagua wewe uchanganyikiwe akili au uchome mapafu....