NAMNA YA KUHESABU MZUNGUKO WAKO WA HEDHI.
Katika somo la leo, tutajifunza jinsi ya kuhesabu mzunguko wa hedhi ili kujua siku nzuri za kupata mimba au kuepuka mimba kwa njia ya asili.
Ili kufanikisha hili, ni muhimu kuelewa dhana ya Kilele Bukuku (productive/fertile days) ambayo ni siku ya kumi na nne ya mzunguko wa hedhi.
OPEN ⤵️