@Jambotv_ Kongole kwako Mhe. Code. @KenaniKihongos1 Mwenye Enzi Mungu akulinde kwani sio tu umewapa fursa Wananchi kutoa Dukuduku bali pia Wataalam kuwasikiliza na Kuwaambia Utaratibu unataka nini hili ndilo daraja lilovunjika kati ya Wananchi na Watumishi wa Umma.๐๐ฝ๐๐ฝ๐๐ฝ
@angelnerd17 Gen Z mjue kuna hifadhi za taarifa kwenye Mitandao sio kujihakikishia tu mnacho kijua au kukiona. Mitandao hii inatoa records zote.
Sisi tulio soma na Jamaa tuna jua historia yake vzuri, sasa wewe kwakuwa unaijua ya huyo wako nenda utuwekee sasa hayo matokeo from O-lvl to Chuo