Naomba Kwa Heshima Na Tahadhima Nikabidhi @SuluhuSamia Maua yake Kama Bado Angalii Hai Kwa Kazi Mzuri Amefanyia Jamuhuri Ya Muungano Wa Tanzania Pamoja Na Jumuia Ya Afrika Mashariki Kwa Jumla Hongera Sana Mamangu Mungu Akupe Maisha Marefu Chini Ya Jua