@sambo_soweto@Elisafi_Fadhili Mataifa mengi makubwa yaliingia kwenye migogoro kwa sababu za propaganda za waandishi wa Habari, au haujui ni jinsi gani mwandishi mmoja anaweza kueneza propaganda
@lukalijr@MangiwaKwanza1 Demu akaja kujitetea na kusema eti ndugu zake walikua hawampendi since day moja na yule demu anajieleza vizuri unaeza dhani ni ukweli ,demu jau sana yule