Jana nilipanda mwendokasi kutoka fire mpk shekilango nikasikia conversation Kati ya wanafunzi wa shule moja kubwa Sana Tanzania na mzee aliyeonekana ametumia kilevi(amechangamka) aisee wanafunzi wa Sasa hivi wanajua vitu kwa speed Sana! Mjadala ulikuwa football! Nilijifunza mno
YANGA kwa goli la MAYELE la leo msipomtengenezea SANAMU pale Jangwani mtakuwa wanyonyaji! Angalieni namna jamaa anavyotumia akili kwenye magoli yake na sio nguvu! ONYO: me sio shabiki wa mpira ni ndugu mtazamaji tu!
Ikitumika mihemko ya mashabiki Kama ni kweli wamevunja mpk geti msichukulie ni sifa Ila kisaikolojia mnawatoa wachezaji mchezoni! Ni sawa na uwe unafanya mapenzi na mwanamke/mwanaume uliempania halafu mtu agonge geti au mlango! Mark my words!