Sasa huyu jamaa amekekuja Na njia Mpya Za malipo Ila hii kampuni ilikua inafanyakazi tz baada ya kuwatapeli watanzania wakakimbia je? Serekali imefatilia ili seals?
Jamani hii kampuni niliweka Pesa kwaajili ya kubet mara gafla mtandao ukawa una matatizo wakasema unafanyiwa maarekebisho Na watalamu Mmmm poa tuka subiri mmmmhhhh!!! Mdaaa ukazidi kwenda nikaka uliza VP kuusu ela yangu niliyo dopoziti wakasema subiri watalaamu wanafaatilia..,.,.