@MendradMlelwa@BesteNicolas Ubongo haupumziki kaka. Ndio kinachoongoza marigold ya moyo na upumuaji wako na ukilala unaota ndoto ni sababu brain ipo active mda wote.
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI
Part 144
Wakili wa Serikali Renatus Mkude anaendelea kujibu pingamizi la Mhe. Lissu
Mkude anasema Kifungu 59 B cha Katiba kinampa mamlaka DPP.
Swala la uchaguzi unaotarajia kufanyika nchini hauna uhusiano na chochote mpaka tunafungua mashtaka haya tumefuata utaratibu na uchaguzi hauhusiani kabisa.
Upande wa mashtaka umefungua mashtaka na tumefuata utaratibu na kwasasa kesi inasikilizwa upande wa mashtaka na tunajua tuna ushahidi na kusema kwamba hakuna ushahidi wa kuleta mahakamani huo ni upande wa mashtaka na tunajua tuna ushahidi gani na upande wa mashtaka hatujafunga.
Upande wa mashtaka una mashahidi 30 na sisi tunajua tuna ushahidi gani na tutakapo funga ushahidi Mahakama itatoa hukumu kwamba mshatakiwa ana kesi ya kujibu au la.
Lingine kuhusu dhamana kosa analoshitakiwa nalo halina dhamana na yeye ni Wakili wa siku nyingi anajua kosa hili halina dhamana.
Anasimama Katuga leo sijui ametokea wapi?
Anasema nina subscribe kile ambacho wakili mwenzangu amekisema na ninaendelea kusisitiza kuwa ahirisho letu lipo chini ya kifungu cha 302 cha CPA kutokuwa na shahidi ni sababu moja wapo ya kuomba ahirisho.
Ombi la mshtakiwa kulazimisha kuendelea na kazi kwamba mmoja wa Mawakili ageuke shahidi? π Katuga huwa ni Mpumbavu sana. Kama wanaweza kuwa mashahidi si wawe mashahidi tu.
Kwa bahati nzuri hakuiomba mahakama ifunge ushahidi upande wa Jamhuri yeye analazimisha shauri kuendelea hakuna kifungu kinacholazimisha kuendelea na shauri.
Basi Mahakama ione hiyo ni reasonable cause ya kuomba ahirisho.
Swala la kwamba vielelezo vimekataliwa haimaanishi mashahidi wote wamekataliwa kama nilimsikia vizuri alisema kwenye submission yake there is no case to answer.
Anaona mashahidi wote waliobaki hawako competent kutoa ushahidi.
Katika maelezo yake katoka kuwa mshitakiwa kawa Mahakama kauli hii imetoka kama kauli ya kujaribu kuimislead Mahakama na yeye anataka sympathy.
Video iliyopo mtandaoni ikikataliwa bhasi hamna kesi how??? Tusiende mbali huko.
Waheshimiwa Wakili Mkuu wa Serikali kasema ombi la kuomba dhamana chini ya kifungu 302 cha CPA ni kosa ambalo ni unbailable offence chini ya kifungu 159 cha CPA imeweka makosa ambayo hayana dhamana.
Na kutokana sheria ombi hili linakiuka sheria na pengine yeye mwenyewe alitunga akiwa mbunge.
Haya maombi mengine ya hakuna kesi tutayakuta mbele hayo mengine na kwa upande wetu ni hayo tu waheshimiwa majaji.
Waheshimiwa majaji wanaandika na wanajadiliana kidogo.
Anawasha kipaza sauti anasema tumesikiliza hoja ya pande zote mbili na Mahakama inasema tunaomba kuahirisha shauri hili kutokana na kutokuwepo kwa shahidi ipo chini ya sheria
Ombi la mshtakiwa kosa halina dhamana
Kwa hiyo tunakubaliana na upande wa Jamuhuri shauri hili limeahirishwa mpaka tarehe 3/11/2025 saa tatu asubuhi.
Naomba Repost yako