“Elimu hii ya kujiajiri inayotolewa na Chuoni hapa inaenda sambamba na mpango kazi wa Serikali ambapo tunatakiwa kufikia asilimia 80 ya vijana wanaojiajiri mpaka kufikia 2030”
Mhe. Exaud Kigahe
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara
#CBECareerFair2025
“Kupitia maboresho ya mitaala Chuo kitaongeza programu zinazoendana na soko la ajira na kuwaandaa wahitimu kitaaluma, kivitendo na kimaadili”
Prof. Zacharia Mganilwa
#CBECareerFair2025
“CBE tunahamasisha ujasiriamali kwa vitendo kwa kuwa na programu ya atamizi (incubation) ambayo inahamasisha wanafunzi wenye ndoto za biashara au bunifu zao wanazileta na tunawalea mpaka wanapoweza kuwa wafanyabiashara kamili”
Prof. Edda Tandi Lwoga
#CBECareerFair2025
📚 CBE kimewakutanisha wadau kujadili na kuboresha mitaala ili iendane na mahitaji halisi ya soko la ajira. “Uwepo wenu hapa utasaidia kuboresha mitaala mbalimbali itakayotumika vyuoni ili kutatua changamoto zilizopoi katika soko la ajira.” – Prof. Lwoga.
#CBEforBusinessSuccess
📍Ikulu, Dar es Salaam | Juni 10, 2025
Viongozi wa CBE wakiongozwa na Prof. Zacharia Mganilwa na Prof. Edda Tandi Lwoga wamehudhuria hafla ya Gawio na Michango kutoka Taasisi na Mashirika ya Umma, ikiongozwa na Mhe. Rais @SuluhuSamia 🇹🇿
#CBE#Gawio2025#CBEforBusinessEducation
"Ukiacha kutumia taaluma yenu katika utendaji bora wa kazi zenu pia hakikisheni elimu mliyoipata hapa inaenda kuwapa suluhu ya changamoto mnazokutana nazo katika jamii inayowazunguka ili kujenga jamii iliyo bora" - Dkt. Wiliam Gomela
#CBEforBusinessSuccess
🎯 Career Fair 2025
🗓️ 19 Juni 2025
⏰ Saa 3:00 Asubuhi – Saa 6:00 Mchana
📍 Viwanja vya Basketball, CBE Dar es Salaam
Kauli mbiu: Ubunifu na Ujasiriamali kwa Ajira Endelevu
👉 Jiandae kwa ajira! Usikose!
#CareerFair2025#CBE#Ujasiriamali#Ubunifu#CBEforBusinessSuccess
1 June 2025, Prof. Edda Tandi Lwoga, Rector of CBE, presented “Think Global, Act Local: CBE’s Journey in Digital Transformation and Innovative Talent Cultivation” at the Global University President Forum during SWUFE’s 100th Anniversary in China. 🇨🇳🌍
#CBEforBusinessSuccess
📢 You're Invited! 🎓✨
May Online Monthly Research Symposium
Join Dr. Benedict Mwakabungu for an insightful Zoom webinar on:
📝 "Research Skills Boot camp: Building a
Strong Foundation in Quantitative Data Analysis"
🔗 Join Here: Zoom Link
https://t.co/TI4BBwQofJ
Mwenyekiti wa Bodi ya Uongozi ya Chuo cha CBE, Prof. Zacharia Mganilwa, na Mkuu wa Chuo - CBE, Prof. Edda T. Lwoga wameshiriki Uzinduzi wa Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 toleo la 2023 uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, Dodoma tarehe 01 Februari, 2025
🌟 Researcher of the Month: February 2025 – Dr. Anna Kayanda 🌟
Research Title:
Combining Extreme Programming and Design Science Research for the Implementation of Information Systems in the Tanzanian Higher Education Context
#ResearchOfTheMonth#ICT4D#ExtremeProgramming
Kuangalia Maadhimisho ya Jubilei ya Miaka 60 na Uzinduzi wa Dira ya Miaka 50 ya Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) kupitia Channel yetu ya YouTube (CBE TV Tanzania)
Bonyeza link hapo chini
https://t.co/VniEjwiuAm