Ndugu zangu - nawaomba tutumie wiki hii kuchukua hatua kuhifadhi mazingira. Tupaze sauti. Tuwe askari wa zamu kuripoti na kuzuia waharibifu. Kila mtaa na kijiji una[paswa kuwa na] Kamati ya Mazingira. Jiunge au Anzisha Kamati ya Mazingira mtaani/kijijini kwako. #NitunzeNikutunze
Kwa heri Kinana. Hongera kwa kazi nzuri. Daima tutakukumbuka. Hongera Bashiru. Nakutakia kila la heri. Hongera @ccm_tanzania , hongera Mwenyekiti @MagufuliJP Umoja ni Ushindi, Kidumu Chama Cha Mapinduzi !
Nimesikitishwa na kifo cha Maria na Consolata. Nilipokwenda hospitali waliliombea Taifa. Walikuwa na ndoto ya kulitumikia Taifa. Poleni familia, Masista wa Maria Consolata na wote walioguswa, pumzikeni mahali pema wanangu. BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIHIMIDIWE.