MAKOSA 7 ya Kuepuka Unapouza Bidhaa Kwenye WhatsApp STATUS Yako...
.
....Kama Umekuwa ukipost bidhaa kwenye WhatsApp status yako kisha watu wakaishia Kuview Tu bila Kununua basi kuna uwezekano unafanya kosa mojawapo kati ya haya 7
.
[MADINI TIME]👇🏻
Tusijifichie nyuma ya shetani. Shetani hawezi 'kukupitia' kama huna miadi nae. Ni ama umemuita ameitika ama amekuita umeitika. Tuwe watii wa dhamira zetu na wepesi wa kupokea matokeo na kubeba wajibu unaotokana na maamuzi yetu.
Watu wazuri na wema bado wapo, walikuwepo na watakuwepo siku zote. Kama hukutani nao ni kwa sababu hupiti mitaa waliopo. Unaokutana nao ni wale ambao wako mitaa unayopita wewe.
Uongozi wa Klabu ya Simba umepokea kwa mshtuko mkubwa taarifa za kifo cha Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi, Zacharia HansPope ambaye amefariki dunia usiku huu.
Taarifa zaidi zitawajia kupitia kurasa zetu. #RIPHansPope#NguvuMoja