Vita kule Goma,#rdcongo ๐จ๐ฉ vinapamba moto.
Tumepata taarifa kadhaa kutoka kwa baadhi ya washirika wa timu zetu ambao wanaishi #Goma kwamba Mungu ameokoa maisha yao na kunusurika mashambulio za bomu.
Tafadhali endelea kuomba amani juu ya nchi la #DRCongo๐
#AfricaShallBeSaved
Kwa kweli tumezidiwa na matarajio ya kile Mungu atafanya kupitia kampeni za CfaN mwaka huu!
Tunapoendelea mbele tunakualika ujiunge nasi katika maombi kwa ajili ya yafuatayo
(zipate kupitia hii link): https://t.co/tCqDqXGPxN
#AfricaShallBeSaved#afrikalitaokoka
Tuna haja ya haraka na zawadi yako inaweza kufanya tofauti! Tunahitaji kupata $150,000 mara moja kwa ajili ya Crusades zetu zinaozo pangwa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Toa hapa ili usimame pamoja na hizi mipango: https://t.co/24It2LkY0f
#AfricaShallBeSaved#DRCongo
Tunafurahi kuwatangazia SCHOLARSHIP KAMILI kwa mwaka wa kwanza katika Shule ya Huduma la CFAN kupitia scholarship maalum la Reinhard Bonnke!
Hii fursa ni ya wanafunzi wale wa kwanza 250 watakaokubaliwa!
Tuma ombi lako hapa: https://t.co/F0ckG7fWVT
#AfricaShallBeSaved
Tunapoendelea kupitia mwanzo mwa mwaka huu tunaangalia nyuma jinsi Bwana alivyotenda mnamo 2024!
Tunashaanga kuona vile Mungu anavyofanya katika mataifa na tunashukuru kwa maombi yenu na msaada. Tuendelee kueneza habari zake njema mwaka 2025!
#AfricaShallBeSaved#HappyNewYear
Tunaposherehekea miaka 50 ya huduma tunasimama kwa mshangao ya yote ambayo Bwana amefanya katika kipindi cha nusu karne iliyopitaโkutoka mwanzo wa huduma na Mwinjilisti Reinhard Bonnke hadi leo na Mwinjilisti Daniel Kolenda na timu yote ya CFAN!
https://t.co/osAu63DCxo
Tunaposherehekea kukamilika kwa kampeni hamsini (50) za CfaN mwaka wa 2024 tunafurahi kushiriki kwamba huduma hii imeshuhudia rasmi zaidi ya maamuzi milioni tisaini na sita (96) kwa Yesu Kristo katika kipindi cha miaka 50 iliyopita!
Utukufu wote kwa Mungu!
#Africashallbesaved
Mwisho wa kusubiri umekwisha!
Tunafurahi kutangaza uzinduzi rasmi la Shule ya Huduma la Christ for all Nations!
Tuma ombi leo la kuingia katika hii programme inayo pangwa kuanza Okt 2025! Pata maelezo hapa: https://t.co/ixwdFyse0Y
#AfricaShallBeSaved
https://t.co/fd7Y6BMQqG
Desemba tarehe sita tumesherehekea urithi wa miaka hamsini 50 ya huduma ya kushinda nafsi, crusades hamsini (50) mwaka huu peke yake, na maamuzi tisaini na sita milioni kwa ajili ya Kristo! Soma zaidi: https://t.co/QHTsl3fzaE.
#Africashallbesaved
https://t.co/J7GIULOpRh