Hapa extended highlights baada ya Booker T kupoteza penalti yake,sasa ni zamu ya mwenzake mzaliwa wa São Paulo nchini Brazil kijana Gabriel almaarufu "Big Gabi" - ambaye anapura na kuumimina mpira kwenye mashabik kana kwamba ywawinda ndege mamaee. Lahaulaa waLaqwataaa
i don’t want to hinder any girl’s potential by telling her to be patient with me to get rich and all, bro if you leave me cause i’m broke, i swear that’s a valid reason.
This Dj Afro Guy is the reason my mother almost killed me. Nilitumwa Kerosene ya kuwasha stove saa nne nikapitia pale kwa movie nikapata ndio sinema ya Azumi inaanza nikaamua kukaa chini dakika tano nione namna gani. When I went outside again it was dark. Kuuliza jamaa ni saa ngapi ananiambia 7:20. That day I am telling you My mother beat me up and until she got tired,mwiko ikavunjika,she now started biting me like a T9 Mutina. I once told this story to a Westlands baddie and she told me I had childhood trauma. But my fellow Lower middleclass Jangris know we all deserved those beatings.
Gentlemen its okay to outgrow your partner. Especially if she has grown fat and you feel your priorities are not alligned snymore. Or she will hold you back. It doesn’t matter if she helped you pay your college fees,thats what real women do. Learn to Choose yourselves kings