Winga Bernard Morrison alikuwa chanzo kingine cha vicheko kwenye Ikulu ya Magogoni Jijini Dar es salaam, wakati wa hafla iliyoandaliwa na Rais Samia Suluhu Hassan ya kuipongeza Yanga kwa mafanikio waliyofikia kwenye michuano ya kimataifa.
SIKIA MIPOINT HII....!
hii ndiyo sample ya Watu wa Kariakoo wa 2023 siyo wale wa Miaka ya 1960๐
Tabia ya kufikiri Kariakoo hakuna wasomi MKOME.
Wale wazee wa Kichaga na Kikinga walisomesha watoto hadi ngazi za PhD
Na sasa ndiyo wameachiwa biashara za familia huko Kariakoo.