OCTOBER TUNATIKI!
Watanzania kwa wingi wetu, umoja wetu na uzalendo wetu, tumeamua kutumia haki yetu ya msingi ya kidemokrasia kwa kujiandikisha na kurekebisha taarifa zetu kwenye daftari la kudumu la wapiga kura. Huu ni wakati wa kuchagua maendeleo, kuchagua mshikamano na kuchagua kiongozi ambaye amedhihirisha kwa vitendo kuwa Tanzania inawezekana.
Kila kona ya nchi mijini na vijijini, vijana wake kwa waume, wanawake na wazee sauti ni moja Mwezi Oktoba, tunamtiki Mama Samia Suluhu Hassan
Uongozi wake umeleta mabadiliko ya kweli kwenye sekta ya afya, elimu, kilimo, viwanda na diplomasia ya uchumi. Ametufungua macho, ametufungua milango ya fursa, na sasa ametufungua njia ya mustakabali bora.
Uchaguzi ni sauti yetu, kura ni silaha ya maendeleo. Tunasema kwa nguvu zote October Tunatiki kwa maendeleo, kwa amani, kwa Tanzania tunayoitaka!
#KaziNaUtu
#TunasongaMbele

Rais Samia Suluhu Hassan ameonyesha dhamira ya dhati ya kuinua maisha ya Watanzania kwa kuweka mkazo kwenye maendeleo ya kijamii na kiuchumi. Ameanzisha miradi mikubwa ya miundombinu kama reli ya SGR, barabara na viwanja vya ndege, sambamba na kuboresha huduma za afya na elimu

Rais Dkt. @SuluhuSamia anajenga Tanzania mpya kwa msingi wa usawa, maendeleo na mnyororo kamili wa thamani. Kila hatua yake ni somo la uongozi thabiti wenye mtazamo wa kitaifa na kimataifa.
Kupitia uongozi wake wa busara, Tanzania inaingia katika zama za viwanda kwa kasi isiyozuilika. Mama Samia si tu Rais, bali ni msomi wa uongozi wa kisasa. Tunajifunza kutoka kwake kila siku.

Katika tukio lenye uzito wa kihistoria, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, pamoja na Rais wa Jamhuri ya Burundi, Mhe. รvariste Ndayishimiye, wakipanda mti wa kumbukumbu kabla ya kuzindua rasmi Kiwanda cha Mbolea cha ITRACOM Fertilizers Ltd โ Nala, Dodoma.
Huu si mti tu, bali ni ishara ya urafiki wa kweli, mshikamano wa kikanda, na dhamira ya pamoja ya kuinua wakulima wa Afrika kwa viwanda vya ndani na teknolojia za kisasa. Dodoma yazidi kung'ara, uchumi wa kijani wachukua nafasi!
๐น๐ฟ๐ค๐ง๐ฎ

Watanzania, wazalendo wa kweli na wapenda maendeleo wote kwapamoja tumekubaliana Oktoba tunatiki kwa Mama Samia โ ๏ธ, Kiongozi mwenye maono makubwa na dhamira ya dhati ya kuboresha maisha ya wananchi na taifa kwa ujumla.
OKTOBA TUNATIKI โ ๏ธ KWA MAMA SAMIA โ ๏ธ
#kaziNaUtu
#TunasongaMbele