TEC Wameendelea Kuwa Bold Katika Kusimamia Misingi ya Taifa Letu Ambayo Imeendelea Kuharibiwa na CCM Ambao wamejitawaza Kuwa Wakoloni Weusi.
Ahsante Sana Baraza la Maaskofu Katoliki๐๐ฝ
Mfumo wa mawasiliano wa Serikali wa eMrejesho toleo la pili (eMrejeshoV2) kutoka Tanzania, umechaguliwa kuwania Tuzo za Mkutano wa Dunia kuhusu Jamii ya TEHAMA mwaka 2025 (World Summit on the Information Society -WSIS 2025).
Mfumo huo umechaguliwa katika kipengele cha Serikali Mtandao (e-Government AL C7), ikiwa ni miongoni mwa mifumo 360 ya TEHAMA iliyofuzu hatua ya mchujo kutoka kwa zaidi ya maombi 1000 ya mifumo ya kidijitali yaliyowasilishwa kutoka mataifa mbalimbali duniani
Tunaomba uupigie kura mfuno huu iki nchi yetu iweze kushinda na mwisho ni tarehe 30 Aprili 2025 saa 6:00 usiku,
Jinsi ya Kupiga Kura
1. Tembelea Tovuti Rasmi ya WSIS Prizes ya https://t.co/pvYpxjHjFa.prizes
2. Ingia au Jisajili.
- Kama tayari una akaunti ya WSIS ๐ฏ๐ผ๐ป๐๐ฒ๐๐ฎ ๐๐ผ๐ด ๐ถ๐ป na ingiza taarifa zako.
- Kama huna akaunti, bonyeza โ๐ฅ๐ฒ๐ด๐ถ๐๐๐ฒ๐ฟ ๐ฎ๐ ๐ฎ ๐ป๐ฒ๐ ๐๐๐ฒ๐ฟโ kisha jaza fomu ya usajili
3. ๐๐๐ป๐ด๐๐ฎ ๐๐ผ๐บ๐ ๐๐ฎ ๐๐๐ฝ๐ถ๐ด๐ฎ ๐๐๐ฟ๐ฎ (๐ฉ๐ผ๐๐ถ๐ป๐ด ๐๐ผ๐ฟ๐บ)
Ukishaingia kwenye mfumo, nenda kwenye sehemu ya "๐ฉ๐ผ๐๐ถ๐ป๐ด ๐๐ผ๐ฟ๐บ.โ
4. ๐๐ต๐ฎ๐ด๐๐ฎ ๐๐ฎ๐๐ฒ๐ด๐ผ๐ฟ๐ถ๐ฎ ๐ฆ๐ฎ๐ต๐ถ๐ต๐ถ
Kutoka kwenye menyu ya kushuka (dropdown), ๐ธ๐ฎ๐๐ฒ๐ด๐ผ๐ฟ๐ถ๐ฎ ๐๐ฎ ๐ฒ๐๐ผ๐๐ฒ๐ฟ๐ป๐บ๐ฒ๐ป๐ ๐๐ ๐๐ณ
5. ๐๐ถ๐๐ต๐ฎ ๐ง๐ฎ๐ณ๐๐๐ฎ ๐ป๐ฎ ๐ฃ๐ถ๐ด๐ฎ ๐๐๐ฟ๐ฎ ๐ธ๐๐ฎ ๐๐ ๐ฝ๐ผ๐๐ฒ๐ฟ๐ฒ๐ฑ ๐ฒ๐ ๐ฟ๐ฒ๐ท๐ฒ๐๐ต๐ผ ๐ฉ๐ฎ
Pitia orodha ya miradi ndani ya kategoria hiyo ya eGovernment AL C7 hadi uione ๐ฒ๐ ๐ฟ๐ฒ๐ท๐ฒ๐๐ต๐ผ ๐ฉ๐ฎ kisha bonyeza ๐ฉ๐ผ๐๐ฒ ๐๐ผ๐ฟ ๐ง๐ต๐ถ๐ ๐ฃ๐ฟ๐ผ๐ท๐ฒ๐ฐ๐ iliyo pembeni ya jina la mradi.
#eMrejesho_V2_SautiYetu_Maendeleo_Yetu
#Turudi_na_Tuzo_Nyumbani #WSIS
JUST IN: ๐ท๐บ Russian President Putin's 2025 New Year's address
"I wish prosperity and happiness to every home, every family, and to our beloved country - Russia. When we are united, everything is possible. Happy New Year, dear friends! Happy 2025!"
Fully funded Masters and PhD #Scholarships at LSE! Covers tuition + stipend, open to all nationalities. ๐
๐ Deadlines:
Law: Dec 1 | Econ/Intโl Dev: Dec 18 | All others: Jan 15
More info ๐ https://t.co/ZEYAlG1zvg
Details ๐ https://t.co/PDsRFMik87
VIDEO:
Rais wa Kenya William Ruto, amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kuendeleza mpango wa kuziunganisha nchi za Afrika Mashariki na kuwa Taifa moja.
Ruto amesema kuwa, muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar ulioizaa Tanzania haukupaswa kuishia hapo kwani malengo ya wahasisi wake yalikuwa ni kuziunganisha nchi za Tanzania, Kenya na Uganda, ambazo ndizo zilikua zikiunda Umoja wa Afrika Mashariki kwa wakati huo.
Ruto ameyasema hayo leo Novemba 29, 2024 katika mjadala wa wakuu wa nchi za Umoja wa Afrika Mashariki, unaofanyika Jijini Arusha.
Kinshasa ๐จ๐ฉ and Brazzaville ๐จ๐ฌ are the closest capitals in the world but citizens of the two Congos need visas to visit each other.
Thereโs no bridge or tunnel connecting them even though theyโre literally the same people
New month, new episode! ๐๏ธ
Join me for Ep 2 with @OkandaJoab as we discuss the crucial role of young people in climate policy.
We dive into climate justice, the impact of todayโs choices & the significance of the 1.5ยฐC goal as #COP29 approaches.
1. For stress, eat banana and watermelon.
2. For good skin, eat lemon and apple and coconut.
3. For good eyes, eat carrot and apple.
4. For cough, eat pineapple and garlic.
5. For diarrhea, eat coconut and avocado.
6. For good gut, eat cabbage
7. For hydration, eat cucumber and orange.
8. For good kidney, drink 2-3 liters of water a day and beans.
9. For good heart, eat avocado and beans
10. For good prostate, eat tomato and Sour sop and carrots.
11. For more red blood cells, eat beetroot and carrot.
12. For good erection, eat watermelon, Carrot and banana.
13. For strong bones & immunity, eat eggs.
Eat fruits everyday, Kindly repost this for others
Katika Makala Hii nimezungumzia kwa kina kuhusu MAGONJWA YASIYO YAKUAMBUKIZA. Mada nimeelezea ni kitu gani kimetokea miaka 20 hii hadi magonjwa haya (kisukari, Magonjwa ya Moyo , Kiharusi , Magonjwa ya Figo , Saratani na Kupoteza kumbukumbu) yameongezeka. Pia Moja ya swali nimekuwa nikiulizwa mara kwa mara kuhusu unywaji wa juice ya matunda , hapa nimeelezea vizuri kuhusu unywaji juice na kitu gani kinatokea ukinywa juice. Vile vile nimekuwa nikiulizwa kuhusu suala linalosumbua sana jamii kwa sasa KUHUSU NGUVU ZA KIUME NA MATUMIZI YA DAWA YA VIAGRA. Kwenye Makala hii Nimeelezea Viagra ni nini, imetengenezwa kwa kutumia nini na inafanyeje kazi.
Leo kila mmoja ajiulize maswali manne (4)
1. Wiki iliyopita jumatatu mpaka jumapili lini umekunywa maji lita moja na nusu kila siku?
2.Lini kutoka jumatatu mpaka jumapili kila siku katika mlo wako wa mchana na jioni kulikuwa na mboga za majani na matunda?
3.lini kuanzia jumatatu mpaka jumapili kila siku umefanya mazoezi si chini ya dakika 30?
4.lini katika wiki iliyopita umeweza kulala sawa sawa kati ya masaa sita (6) mpaka nane (8) kila siku.
Video kwa Hisani ya Upendo Media.
#mtindo_wa_maisha