@kakamkubwahuyu@TanzaniaLeaks Unakumbuka kipindi Mzee magu yuko mahututi? Unakumbuka Majaliwa alitoka hadharani tena msikitini akasema aliyoyasema? Unakumbuka baada ya siku kadhaa msiba ulitqngazwa so yajayo yanaweza kuwa kweli au sio kweli tusubiri.