@EsirEid Mzalendo anaifuata Nigeria ipate goal tatu ni katika utafutaji kama ilivyo kwa kiongozi kuingia mkataba wa nchi ila unaomnufaisha yeye binafsi.
@kayombo_96@EsirEid Niaje, inakuaje, haya sio maneno rasmi kwenye lugha ya nadhani ni vivumishi tu ndo maana huwezi kuyatumia kumwambia mtu mzima niaje au inakuaje.
@EsirEid Gharama za ujenzi mjini zinapanda karibu kila siku tofauti na kijijini binafsi ntaanza kujenga mjini ili nipate utulivu kwanza wa kutafuta pesa yakujenga kijijini kwa wazazi.