Chambuzi pro
I love Simba & Yanga ๐น๐ฟ
Transfer & Signing specialist
Maoni makali na machungu ya mpira yasiyoegemea upande wowote
Fikra huru za mpira
Ujio wa Moallin umeongeza kitu kikubwa sana ndani ya yanga
Tangu aje style of play imebadilika
Tangu aje flow ya timu imebadilika
Tangu aje viwango vya wachezaji vimeongezeka mfano ni kwa maxi na okello
Vile vile hata ile winning mentality kwa wachezaji imeongezeka
@hamis_abas Mpira wa Africa 80% mpaka 90% ni siasa na uzoefu ukiwa vizuri kwenye siasa ukizijua code tu unatoboa technically ni 10% tu zilizobaki
Simba anafika robo hata iweje kwasababu anaelewa namna anavyofanyaga mfano unaona kwa mkapa mule ukiingia hutoki hata kama we ni timu gani
@kishoka_ Usenge unakuta kachalii kanatoka home kanaacha nyumba ina tyres, sing board, kitanda cha 6 kwa 6, madirisha ya aluminum kanaenda kulala chini nyumba ina sakafu haina hata dirisha
Unajiuliza huyu kachanganyikiwa ama anafata mkumbo
@abefesto@moshijnr Sead aliikuta timu haina fitness na akasema kabisa timu inacheza taratibu
Sead ali introduce soka lake la speed ambalo ndo tukaliita gusa achia twende kwao hakutembelea upepo wa gamondi
๐จ EXCL : Deal done & sealed Mamelod Sundowns wamefanikiwa wameinasa saini ya Steve Backer
Mechi ya tarehe 2 Nov 2026 Namungo dhidi ya Simba ndo itakuwa mechi ya mwisho ya Steve Backer kuwatumikia wanalunyansi
Kila la kheri katika changamoto yako mpya Steve Backer
โHivi unajua robo tatu ya Biblia ni Uchumi, kuliko dhambi na kuzimu. Hata yesu mwenyewe amemtaja shetani kwa nadra sana, haizidi mara nne. Ila sisi huku kidunia dunia tunamtaja sana shetani kuliko tunavyotaja mambo mengine. Mimi nikisoma Biblia nikamuona Mungu, kinachofuata naona Helaโ Pastor Tonny