Dunia imejazwa na vitu vitatu vikubwa vya asili
1. Maji
2. Anga
3. Ardhi
Katika hivyo vyote kipi umekitumia kuwekeza?
Maji na Anga ni Ngumu. Vipi juu ya ardhi umefanya nini??
Umetafuta kipande cha ardhi kilichojengewa tofali na paa ukapanga?
#ItumieArdhiKiuchumi
Njiani tukakutana na kijana akiwa na mama mtu mzima
Wakasimamisha gari
Kijana : Usagara shi ngapi
Konda : Mia nane panda twende
Kijana : Nina Elfu moja mm na mama yangu
Konda : TAFUTA HELA UMUNUNULIE GARI MAMA YAKO π₯², dereva washa.. fasta gari ikaondoka
HILI LIMENIUMA MNOOπ
'Usikubali mtu acheze na furaha yako
Usikubali mtu acheze na kazi yako.
Usikubali mtu acheze na hisia zako.
Usikubali mtu acheze na fikra zako.
Usikubali mtu adumaze juhudi zako.
Haya ni matano muhimu sana Asubuhi ya Leo ukifanikiwa kuyalinda mengine utapita tu.
Kumekucha.
Sad story ni kwamba, wanawake wanajenga na kutafuta altenative kwa kujipanga after brekup, wanaume sisi ikitokea ndio tunaanza upya tena, sababu mali zitagawanywa kwa mke na watoto πππ
Nilipewa nafasi ya kushiriki kwenye mfumo wa ufisadi, nikakataa. Naogopa hukumu ya historia na laana za Watanzania. Heri yako mwenye hofu,
ila kuna mambo mengine ukiyasikia yanatia hasira sana