@AssertiveBro@OleSangka Unachekesha ,Mungu alivyo sema siku ya saba ni kumpuzika ulitaka ukaoumzikie wapi kama sio ku mwabudu kanisani?ilibidi tena ule huko huko kanisani ukiingia asubuhi unatoka jioni
@JrKapesa@trampwaIlala@OleSangka Kwann unataka mpangia Mungu masaa au idadi ya ibaada siku ya jumapili ni siku ya ibaada..kaa kwenye ibaada siku nzima....siku 6 fanya mishe zako uwezavyo..mpe Mungu siku yake
@iamthatfemale@OleSangka Pia kuambiwa labda ww mgeni mtiti wa 2000 hapo ,askofu alishindwa,waumini wanataka hivyo...walikosa wakatafuta makanisa ya ministries..sasa waka yapata kimara....na haibui tu kitu toka angani...kesho anaenda tetea tasinifu yake kwenye eneo hilo
@iamthatfemale@OleSangka Litrugia mbona inafanyika?labda ww huwa unachelewaga..wakianza ibaada litrugia hadi masomo ya kalenda..tofauti tu mahubiri yenye package mbali mbali na maombi na maombezi
@iamthatfemale@OleSangka Kwani kanisa haliwezi kutoa maombi na maombezi??2.kama ibaada inachelewa,mbona watu wanakesha baa siku ya jumapili?na nadhani kesho ana tetea,PhD yake kwann watu wanahama makanisa ya asili kwenda ulokoleni
@iamthatfemale@OleSangka Ww siku ya kuabudu unataka uende wapi??siku 6 unafanya mishe zako. Siku ya 7 hata kutenga masaa 7 na Mungu wako unaona shida??pastor huyo alisha kataya siku ya saba ya kusali utumie masaa mawili..kisha unaenda shida baa na kukesha baa
@iamthatfemale@OleSangka Pia miaka ya 2000 hapo walisha shtaki kwa askofu..askofu alivyo kuja alikuta waumini nyomi kanisani hadi akarudi..Hoja za mastai ni hizi 1.kama anaendesha maombi na maombezi ibaadani,kunashida gani ili hali watu wanaenda kuyatafuta kwa makanisa ya kilokole ?
@BracuszCadabra Alikuwa ana iba wachezaji simba walio watarget ndio maana aliweza fanikiwa...miaka 2 simba wamemuingiza chaka..wana target mchezaji feki ...yeye ana pita nao...mfano akina kouma,bala conte etc....hana scouting yoyote...avizie simba wana mtaka nani ili apite nao.
@JotiOfficial Mawakala wa shetani wapo kazini..wanajua wasipo oa watapata wanachama wa ushoga na wasipo opewa watapata wasagaji....hii ni agenda ambayo inapaliliwa..sema walio wengi hawajajua wanaingia bila kujua
@s_symon@MrLiver1892@samuelmway Kuna sehemu baada,ya msimu wa mvua huwa ukuta wake unakaa kama miezi mi 5 ukiwa umelowa maji ya mvua...sasa miezi yote hiyo hapo rangi hakuna maana unyevu huo utaleta fungas kwenye ukuta