ALLAH
ALLAH
ALLAH
ALLAH
ALLAH
ALLAH
ALLAH
ALLAH
ALLAH
ALLAH
ALLAH
ALLAH
ALLAH
ALLAH
ALLAH
ALLAH
ALLAH
ALLAH
ALLAH
ALLAH
ALLAH
ALLAH
ALLAH
ALLAH
ALLAH
ALLAH
ALLAH
ALLAH
ALLAH
ALLAH
ALLAH
ALLAH
ALLAH
ALLAH
ALLAH
ALLAH
ALLAH
ALLAH
ALLAH
ALLAH
“Jaji KYANDE na kamati yake ilitembelea familia 1327 za watu waliokua wameuliwa au kupotea” @LazaroNyalandu asikika Sky News ya UINGEREZA jana usiku.
wakati huohuo ripoti ya KYANDE inasema wameuliwa watu 518 au 818.
REPOST 500
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
'viongozi' wa tanzania hawana mazoea ya kuhojiwa cuz journalism nchini mwao doesn't actually exist. wamezoea kwenda kwenye 'media' kuzungumza upuuzi w/ no accountability. so, when they meet actual journalists, they get pretty bodied. i fucking love it:
Hiyo move ya kuuza dhahabu hiyo pesa itaenda kutafunwa tu!!
Aliesema kuna siku hii nchi itauzwa yote hakukoseaga……Red flags ndio hizo!!
Na kwa bunge hili la familia moja, hakuna pale wa kuishauri wala kuisimamia serikali, kila mtu anaangalia maslahi yake binafsi!!
Nawashukuru sana Familia nzima ya Diaspora kwa kutambua mchango wangu mdogo kwenye Mapambano ya kuitafuta HAKI kwenye Taifa letu.
Safari bado ndefu mtaji pekee tulionao sisi ni NAMBA. Watanzania wengi wanataka HAKI na sisi ni wengi kuliko wao. Sauti ya wengi ni sauti ya MUNGU hakika TUTASHINDA ni suala la muda tuu.
Endeeleni Kututia Nguvu huko mliko sisi pia hatutachoka kupigania HAKI kwenye Taifa. Ushindi Unakuja.
TUTAKUWEPO🫵😎
Tanzanians risked their lives to speak to CNN for our investigation despite police warning against sharing that content. We only reported what we carefully verified and nobody has pointed out a single lie.
Thanks to 🇿🇦 SABC News' @Oliver_Speaking for amplifying our work
Kwa yeyote anaesoma hii tweet, naomba nikukumbushe
Safari yako hapa duniani ina thamani kubwa sana
Mambo yako yanaweza kuwa magumu leo, ila mwisho wake unaweza kukushangaza
Kila kilichopotea kinaweza kupatikana, na chochte kilichovunjika kinaweza kujengwa upya
STAY STRONG 💪🏾
Popote pale ulipo show some Love and Respect kwa dada wa taifa @mangekimambi kwa Retweet & like anafanya kazi ya kitume sana mungu ampe maisha marefu sana❤️🙏
@godbless_lema Joni Bina, Mwenyekiti wetu wa wachimbaji wadogo, alitoa kauli mbaya sana,
Mungu ni mwema—maana tangu uchaguzi uishe, amejificha kusikojulikana, hataki kukutana na wachimbaji wadogo wadogo!