@MkulimaKante@MkulimaKante tunashukuru kwa kutufikia...mimi nishasaidia watu wengi sana sometimes hata hawajasimamisha nikihisi tu nahitaji kuwapa msaada wanakwea chuma na baraka nimeziona asa ivi nna STL, mara STK mara SM alhamdulillah kwa kweli
@kasesco_tz Kumeli tu wale wapuuzi waliokosa ujuuzi wa kupika chapati maandazo na maharage. We r African men tuachane kabsa na huu upuuz srub kafanyiwe na mkeo home au hata sister zako ila sio hawa vibaraka wa ibilisi. Ndo maana saloon zangu za wana tu kitaa ila nao mashine zao sasa🤣🤣🤣
@seniorking01 Jamani mimi imani kuu niliyonayo hasa kama sina uhakika wa flow yangu ya hela ni mkopo. Mikopo sio mizuri kwa upande wangu lkn. Nimeona angukola watu wengi waliojihusisha na mikopo.