Tuliwaambia TEREMSHENI BUNDUKI mapema kabisa.
Tena katika lugha nyepesi na ya upendo ya kuwatakia maisha bora kwenu na kwetu,
kwa sababu sote ni wahanga wa huu mfumo!!
Mmetupuuza, hamjatusikiliza,mmedharau.
Mmegoma kuteremsha bunduki, mkalenga na kupiga ndugu zetu na kuwaua!!
Damu mlizomwaga, Machozi mnayotutoa
Uhai wa ndugu zetu mlioukatisha, Vidonda na majeraha mliyotupa…….
HATUKUBALI AND YOU’RE GONNA PAY FOR THAT‼️
Yes, we have tried our best as citizens.💪
But, kwa tulipofikia
WE REALLY NEED BACKUP!!
#JWTZ & #TAASISI_ZA_NJE
We still keep pushing kwenye taasisi za nje kwa kuwapa taarifa na ushahidi wa kinachotokea nyumbani, i hope watafanya kitu na UMMA utakwenda kushinda!!
JWTZ Kiukweli mnatu-confuse mno mno mno mno….tunashindwa kujua mpo side gani!!
Ni hadi damage & impact ifike level gani ndio mta-take action???
Tulitegemea mngefanya kitu kabla ya 29th,
Kimya, mpaka wakatangaza wamefanya uchaguzi.
Tukategemea mtafanya kitu wasitangaze matokeo, Kimya…..wamejitangaza wameshinda kwa kishindo!!👎
OUT LAST HOPE….DO SOME BEFORE INAUGURATION!!
Rescue our country…Rescue our people!
But vyovyote itakavyokuwa hatutakata tamaa na hatutarudi nyuma!!
Hata tukikosa backup, still tutashinda hii v
vita!!
You can kill a revolutionary
But you can never kill the revolution 🤲
Jeshi la polisi jana walituambia HAWA ni bodaboda Kutoka nchi jirani.
Hawa ndio wameua watanzania zaidi ya ELFU 3 nchi nzima.
REPOST 500
————————
Yesterday, the police told us that THESE are motorcycle riders from a neighboring country.
These are the ones who have killed more than 3,000 Tanzanians across the country.
Hiyo elfu 10, Elfu 20 wanayokupa huko kwenye kampeni ili ukajaze viwanja na uwachague……..Utairudisha na chenchi juu!
Ni kama wanakuazima tu, na utawarudishia na faida!!
Utanunua umeme wa elfu 10, utapewa umeme wa elfu 7 utakatwa buku tatu!!
Hizo buku tatu unazokatwa katwa ndio hilo liten unalolichekelea sasahivi!!
SASA KAMA SIO UCHIZI NI NINI!!?
Na hawatakupa maisha bora kamwe.
Kwasababu wanajua ukiwa na maisha bora hutakubali kwenda kuchomwa na jua kupanda malori ili upewe elfu 10 kujaza viwanja.
Wanaendelea kukufanya uwe masikini ili waendelee kukutumia kwa maslahi yao na familia zao!!
Hivi tutumie lugha gani kuwaambia mtuelewe nyie raia 😡 😡 😡 😡
Usikubali kutumia kumsindikiza mtu kwenye utajiri, Huku anakudanganya na kukutisha kuwa kudai haki zako ni kuvunja amani.
Wakati yeye na familia yake wanafaidika na kuishi maisha bora kupitia wewe!!
TUONDOKE 29th Oct.