@MsigwaGerson Kama mbingu ipo na nikafanikiwa kuingia huko, nikikukuta huko mwovu kama wewe basi nitajua huko sio mbinguni ni Jehanamu kwa mbele na kama malaika wakisisitiza ni kweli tuko mbinguni basi nitaomba nipelekwe jehanamu nikawaone waliopo huko......f***c you
Ccm wanakuoneni kama ng’ombe msiojielewa.. mkapige kura waziibe—mhalalishe ulaji wao kwa miaka mitano mingine tena.
Usiwe ng’ombe. #NoReformsNoElection
Makamu Mwenyekiti Chadema Bara, Mh John Heche akizungumza na Wananchi wa Jiji la Dodoma Mkoa wa Dodoma.Ziara ya No Reforms No Election inaendelea Kanda ya Kati. ✌🏽✌🏽✌🏽✌🏽