IGP, mantiki gani hii ? Mnamkamata mtu, hamtoi taarifa ya wazi alipo wala sababu ya kumshikilia, mnaacha hofu na tension isambae kila kona, halafu baadaye mnatokea kusema, “Ndiyo, sisi tunamshikilia.”
Hii ni calculus gani? Inasaidia nini kwa Nchi zaidi ya kuongeza taharuki, kuvuruga imani ya wananchi na kulitia aibu Jeshi la Polisi ?
Jeshi la Polisi linapaswa kutuliza hofu, si kuizalisha. Linapaswa kujenga imani, si kuacha wananchi wabahatisha hatma ya mtu aliyekamatwa.
Kama mtu amekamatwa kihalali, semeni yuko wapi, kwa kosa gani na hatua gani za kisheria zinaendelea. Usiri usio na sababu huzaa mashaka, na mashaka yakiachwa yakue, gharama yake ni kubwa sana kwa Taifa.
Kwanini hamkutoa Taarifa hii mapema Mpaka Taarifa ya MAUAJI iliivyovuja?
Walikuwa Askari watano kwahiyo wenzake walikuwa wamekaa kimya MTU anajinyonga ndani ya chumba cha MAHABUSU?
Je Polisi akiwa mtuhumiwa ndio hazikwi kwa taratibu za kipolisi?
Mnatengeneza movie za kipumbavu sana.
Kama umemsikiliza Mnyika leo mahakamani ndo unakuja kugundua CHADEMA inaongozwa na vijana wasomi sana wanaojua kujenga hoja. Ndo maana wale wazee wa kule kijani hawalali kabisa kisa chama letu la Demokrasia.
Hakuna viumbe wenye comeback ya hatari kwenye maisha kama wanaume.
Ndio maana wanasema mwanaume akianguka usicheke wala kutia neno baya mara nyingi mwanaume anapoanguka hujifanyia tathmini na kurudi kwa kishindo kikuu kama simba🙌🏾
Ngoja nichukue muda huu nikueleze kama kijana mwenzako si kwa ubishi bali kwa hekima na uzoefu wa maisha ya kisiasa.
Siasa ni mfumo ambao mara nyingi hubadilika badilika.
Leo mtu anaweza kuwa na mamlaka makubwa kesho akawa mwananchi wa kawaida.👇👇
Wako wapi? Hilo ni swali linaloendelea kusumbua familia za watu waliotoweka mazingira ya kutatanisha.
Leo dunia ikiadhimisha Siku ya Kimataifa ya Waathirika wa Kutoweshwa kwa Nguvu, kumbukumbu zinarejea kwa watu 83 ambao kwa mujibu wa TLS walidaiwa kutekwa/kupotea 🇹🇿 2016-2024.
Nyakati ngumu katika maisha zitakufundisha tofauti kubwa kati ya “kuwajua watu” na “kuwa na watu.” Kwa sababu si kila unayemjua ni wako, na si kila anayesema yuko nawe atasimama nawe wakati wa dhoruba.
Hili ni somo muhimu sana katika maisha, watu wengi watakujua wakati wa raha, lakini ni wachache watakaobaki nawe wakati wa majaribu. Nyakati ngumu hazibadilishi watu, bali zinakufunulia watu.
Siku nyingine ya kuwapa MAUA Wazee wetu, in no particular order:
Mzee Sinde Warioba.
Mzee Issa Shivji.
Mama Anna Tibaijuka.
Mzee Charles Kitima.
Mzee Jenerali Ulimwengu.
Mama Rosemary Mwakitwange.
Orodha ni ndefu, lakini, fahamuni, WE LOVE You All!
CDM na sisi tupite na Mbowe 😂 hakuna cha kumsitiri wala nini ukinyea kambi lazima tukuondoe. Hakuna cha kusema katoka mbali na chama yeye sio Mungu mamae.