@masoudkipanya Kijani halisi iliishia wamu ya tano(baada ya kumezwa na wasasa) hii ya sasa inaonekana kama yule(kimuonekano bado ni nyoka) ila sio sawa na ile( maana yule nyoka alieondoka awamu ya tano anaafadhali) wa sasa ndo hafai maana kama alimmeza nyoka mwenzie.... au basi
@BusesNation Hawa jamaa mwanzo walisema wanataka local fabricators(wanasaport vya kwao) sas now wameanza kununua china, means wataanza taratibu kwa zile za kawaida the waje zenye choo miaka ya mbele sana. Dawa ni kali iache inaingia taratibu 🤣
@BigOO47 Huyo dogo aliefanana na 200pac aliwah kusema kuwa 2pac na baba yake waliwah kufanya ka,i ya music pamoja, so wahuni wanahis mama yake alicheat na 2pac
Kuna Jamaa hapa Dodoma ameanza kulala na Binti yake tangu akiwa na Miaka 18 mpaka ameolewa . Mdada hata awe na ubize kiasi gani akiambiwa baba anakuita anakimbia haraka kwenda . Kuna watu ni wachafu sana