Plots to Overthrow @RwandaGov's Prime Governor, H.E. @PaulKagame is being planned on FDRL but we #Beseech Burundi, DRC & U.S to stop Plats of fronting FDRL against Rwanda for Peace and Security to prevail in East Africa. If Rwanda angered you, forgive for God's sake. Let's Unite.
🇹🇿🇸🇪
Early today in Stockholm, H. E Swahiba Mndeme, #Tanzania’s Ambassador to the Kingdom of Sweden received Tanzanian PhD students from UDSM, ARU, and DIT on a SIDA-supported SUWASAN study visit to Stockholm University and KTH.
HE FOUGHT OFF 6 MACHETE ARMED MEN TO PROTECT 37 SLEEPING ORPHANS
24-year-old Anthony Omari confronted intruders to protect children at Kenyan orphanage
On a night in Ngong, Kenya, 24-year-old Anthony Omari was woken by a group of armed thieves inside his bedroom at Faraja Children’s Home. Omari ran the home with his mother, Martha Bosire, and 37 children were staying there at the time.
After experiencing three earlier break-ins that month, Omari had prepared. He grabbed a hammer he kept under his bed and forced the men outside. As he turned to calm the children who had gathered at the door, one attacker struck him in the face with a machete.
Despite the injury, Omari locked the front door before losing consciousness. He received 11 stitches for a cut from his forehead down his cheek, was discharged after two days, and returned to the orphanage quickly because he didn’t want to leave the children unprotected for long.
The story gained attention after a student posted about it on Reddit and asked for help. Within days, over 3,600 donors from all 50 U.S. states and 46 countries contributed more than $80,000. The funds were used for a new fence, security guards, beds for children who had been sleeping on the floor, and other essentials.
Omari later completed a degree in civil engineering, started his own construction company, and continues to visit the children at Faraja regularly.
HISTORIA INAANDIKWA!
Kuanzia 2 Julai2026, Air Tanzania itaanza safari za moja kwa moja kati ya Tanzania na Moscow mara 3 kwa wiki kwa kutumia Boeing 787 Dreamliner.
Tanzania imefungua njia mpya na fursa za biashara, utalii, uwekezaji na ushirikiano wa watu kwa watu kati ya Tanzania na Urusi.
Kutoka Dar es Salaam hadi Moscow — Tanzania inaendelea kufungua milango mipya duniani. 🌍✈️
#SamiaInRussia
Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Kimataifa inayoshughulikia Masuala ya Elimu Duniani (Global Partnership for Education - GPE), ameendelea kuwa kinara katika kuhamasisha jitihada za upatikanaji wa fedha za kugharamia elimu kwa watoto wanaoishi katika mazingira magumu duniani.
Kwa nafasi yake ya Mwenyekiti wa Bodi ya GPE, Dkt. Kikwete ameongoza Mkutano muhimu wa Bodi hiyo uliofanyika Paris, Ufaransa tarehe 3–4 Juni 2026, ambao pamoja na mambo mengine umejadili mkakati wa GPE wa kukusanya Dola za Marekani Bilioni 15 ifikapo mwaka 2030 kupitia kampeni ijulikanayo kama GPE 2030.
Mkutano huo ulihudhuriwa pia na Bi. Éléonore Caroit, Waziri wa Nchi wa Ufaransa anayeshughulikia masuala ya Ubia wa Kimataifa na Maslahi ya Wafaransa waishio Ng’ambo.
Kupitia ubia na ushirikiano kati ya GPE, nchi wafadhili na mashirika ya kimataifa ya misaada, taasisi hiyo imelenga kuwafikia watoto takriban Milioni 270 ambao kwa sasa hawapo shuleni duniani kote kutokana na sababu mbalimbali. Aidha, fedha zinazokusanywa na GPE hutumika kuboresha elimu ya awali na msingi katika nchi za kipato cha chini na zinazoendelea, hususan kwa watoto wa kike na wale wanaoishi katika mazingira magumu kama vile maeneo yaliyoathiriwa na vita, ukame na mafuriko.
Kupitia Kampeni ya GPE 2030, jumla ya wanafunzi Milioni 750 kutoka nchi 96 duniani wanatarajiwa kunufaika kupitia uimarishaji wa mifumo ya elimu, upatikanaji wa vitabu vya kiada na ziada, ujenzi na ukarabati wa madarasa na maabara, pamoja na mafunzo ya kuwaongezea walimu ujuzi na uwezo wa kufundisha.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na GPE baada ya mkutano huo, nchi za Italia na Nigeria zitaongoza kampeni ya uchangishaji wa fedha hizo katika hafla maalumu itakayofanyika tarehe 23, Septemba 2026 pembezoni mwa Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UNGA).
Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa, Saidi Othman Yakubu (@saidiyakubu ), alihudhuria hafla iliyoandaliwa baada ya mkutano huo. Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazonufaika na fedha zinazotolewa na GPE, ambapo hadi sasa imepokea zaidi ya Dola za Marekani Milioni 207.3 kwa ajili ya kuboresha sekta ya elimu nchini.
#KitengeUpdates
RUDN University inajulikana kimataifa kama Chuo Kikuu cha Urafiki wa Watu wa Urusi. Kilianzishwa kwa lengo la kusomesha wanafunzi kutoka nchi zinazoendelea duniani kote. Kwa Tanzania kutambuliwa na chuo hiki kikuu ni ishara ya nguvu ya uhusiano wetu wa kielimu na Urusi uliojengwa kwa miongo mingi. #SamiaKaziniUrusi TanzaniaInaSongaMbele
This morning, Permanent Secretary @Karakye_Charles is convening District Vice Mayors in charge of Social Affairs, Sector Education Inspectors (SEIs), Provincial Education Coordinators, and partners @poverty_action and @gui2de_GU to review progress on the SEIs Imihigo Framework and ongoing evaluations of school Imihigo.
Discussions are focussing on strengthening accountability across the education sector, reviewing progress in the implementation of school and SEI Imihigo, and exploring ways to enhance performance management, support effective teaching, and improve learning outcomes for learners across Rwanda.
“Tanzania na Urusi zimekuwa zikifurahia urafiki na ushirikiano wa kihistoria wenye mafanikio kwa zaidi ya miongo sita, uliojengwa juu ya umoja, mshikamano na kuaminiana. Kwa mantiki hiyo, hatuanzi kutoka sifuri, tunaanzia katika ushirikiano ambao tayari umejengwa kwenye msingi imara na wenye matokeo dhahiri.” - Rais Samia Suluhu Hassan akihutubia jukwaa la Kimataifa la 29 la Uchumi la St. Petersburg, (SPIEF 2026), Urusi
UPDATE- CDF General Muhoozi Kainerugaba today held a farewell meeting with the outgoing Ambassador of South Korea to Uganda, H.E. Park Sung-Soo, at the Special Forces Command headquarters in Entebbe.
The Permanent Secretary, Dr. @DianaAtwine, today met with a delegation from the Consulate of the Democratic Republic of Congo and representatives of the Congolese Community in Uganda to provide an update on the current #Ebola situation. The meeting also aimed at providing accurate information and also garner their support in dispelling myths and misconceptions surrounding the disease within the community.
#MOHatWork | #FightEbolaUG26
❗️ SPIEF imekuwa moja ya majukwaa muhimu zaidi kwa mazungumzo ya wazi ya kiuchumi, amesema Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alipokuwa akihutubia Jukwaa la Kimataifa la Uchumi jijini St. Petersburg.
Amesisitiza kuwa Tanzania itaendelea kushirikiana na Urusi kwa manufaa ya pande zote mbili.
❗️ "Tuko tayari," Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania amesema kwenye SPIEF 2026.
"Urusi ina nia ya dhati ya kushirikiana na Tanzania. Kuna nchi chache barani Afrika zinazopata fursa kama hii. Tunapaswa kufanya kazi ili kumuunga mkono rais wetu na mpango wake wa upatikanaji wa masoko ya kimataifa kwa Watanzania wote," Mahmoud Thabit Kombo amesisitiza.
❗️ Tanzania ni mshirika mwenye matumaini na Urusi, Waziri wa Maendeleo ya Uchumi wa Urusi, Maxim Reshetnikov amesema.
"Tunaona fursa wapi? Kwanza kwenye biashara ... Tuko tayari kusonga mbele, tunapendekeza uzalishaji wa pamoja wa bidhaa za kilimo nchini Tanzania," Maxim Reshetnikov ameongeza.
Aidha, ametaja maeneo mengine yenye matumaini makubwa ya ushirikiano kama vile teknolojia, kilimo, uzalishaji wa dawa, elimu na utalii.
RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AMEINGIAKWENYE ORODHA YA DHAHABU YA VIONGOZI MASHUHURI DUNIANI
Unapomwona Rais wetu, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akivishwa joho la heshima ya juu kabisa ya kitaaluma nchini Urusi fahamu kuwa ameingia kwenye kitabu kimoja na viongozi wenye ushawishi mkubwa zaidi waliwahi kutikisa diplomasia ya dunia.
Chuo Kikuu cha Urafiki wa Watu wa Urusi (RUDN University) ambacho kihistoria kilibeba jina la shujaa wa Afrika Patrice Lumumba kina utaratibu madhubuti wa kutoa Shahada hii ya Heshima ya Uzamivu (Honorary Doctorate) kwa viongozi wachache tu walioacha alama zisizofutika kwenye jamii zao duniani.
Kabla ya Rais Samia kupokea heshima hii chuo hiki kikubwa kimeshawahi kuwatunuku viongozi mashuhuri wa kimataifa na waanzilishi wa mataifa.
Miongoni mwao ni Mahmoud Abbas, Rais wa sasa wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina NA kiongozi anayeheshimika kwa msimamo wa kidiplomasia na Alpha Condé aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Guinea ambaye ni mmoja wa viongozi wa mfano barani Afrika waliwahi kuvikwa joho hili jijini Moscow.
Orodha hiyo inajumuisha pia Nursultan Nazarbayev Rais wa kwanza na muasisi wa Taifa la Kazakhstan, Rafael Correa Delgado aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Ecuador na mwanamapinduzi wa kiuchumi kule Amerika Kusini pamoja na viongozi waasisi na wapigania uhuru wa Afrika kama Sam Nujoma wa Namibia na Thabo Mbeki wa Afrika Kusini.
Hapa ndipo tunapoona uzito na upekee wa kipekee wa Rais wetu Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Kupokea shahada ya Heshima ya Uzamivu (Honorary Doctorate Degree) kwenye huo hiko ina maana kwamba ulimwengu wa wasomi na mataifa makubwa yenye nguvu kama Urusi yametazama uongozi wake na kukiri kuwa yeye si kiongozi wa kawaida.
Amethibitisha kwa vitendo kuwa uongozi thabiti hauhitaji kelele bali unahitaji hekima, maono na utulivu wa ndani unaoweza kuvuta heshima ya dunia nzima bila kulazimisha.
Yeye anakuwa Mkuu wa Nchi wa kwanza mwanamke kutoka ukanda wa Afrika Mashariki na Kati kuingia kwenye jopo hili la dhahabu la viongozi wanaoheshimika na chuo hiki cha kihistoria.
Rais Samia ametuonyesha kwa vitendo kuwa mwanamke wa Kiafrika anaweza kusimama mbele ya mataifa makubwa akasikilizwa, akaheshimiwa na akaleta heshima kubwa nyumbani.
Huyu ni simba jike wa Afrika anayeandika historia mpya ya Tanzania kwa wino wa dhahabu ambao hautafutika kamwe. #SamiaKaziniUrusi TanzaniaInaSongaMbele