Kabla hatuja endelea hizi laptop Kama hizi huwa kila wiki tunapost kwenye WhatsApp channel yetu hapa pia tunatoa Elimu mbalimbali unaweza join ni FREE👇
https://t.co/5812kiF0An
Okay tuendelee na namba 10 ya mkeka wetu..
Kabla hatuja endelea hizi laptop Kama hizi huwa kila wiki tunapost kwenye WhatsApp channel yetu hapa pia tunatoa Elimu mbalimbali unaweza join ni FREE👇
https://t.co/5812kiF0An
Aya tuendeleee na namba 3 ya mkeka wetu…
1. View this item on WhatsApp: https://t.co/7l9pWMuOxg
SONY VAIO✅
Core i3✅
Ram 8GB✅
SSD 128GB✅
Processor 2.2GHz✅
Generation 8✅
Backlight keyboard✅
Kioo inch 13.5 full display✅
Slim na nyepesi sana kubeba✅
Battery 2 to 3 hours✅
Kali sana..❤️
Bei 295,000/= Tu.
Kama bado upo hai , basi ndoto zako haziwezi kufa pia.. _
_Kikatie tamaa chochote kile , lakini sio binadamu anayepumua..._
Mitaa ina ushahidi wa comeback nyingi sana za maisha, zilizofanywa na watu waliodhaniwa wamekwisha tayari..
Wakikutoa kwenye circle zao , jipe muda mwanangu...
_Wakisema hauwezi kufanya chochote, jipe muda mwanangu..._
_Nini kisichobadilika , tutaibadilisha historia kama ambavyo usiku unabadilika kuwa mchana..._
Acha ipite leo ya kuitwa maskini na fukara usiejiweza haipo mbali kesho ya kuitwa boss , muheshimiwa na tajiri wa familia...🙏
Inawezekana wanangu , usiache kuamini ~ CHANDO✊
Cc @chandolaptops 🙏