Tarehe 9/9/2020 @CharityGiving Foundation imekabidhi vifaa vya kusomea; madaftari,kalamu,rula,penseli kwa watoto yatima wanaosoma katika shule ya msingi Nazareth wilaya ya Njombe,mkoani Njombe..
@enock_mafie @MajaliwaRehema @Mbundanstan1@DewjiFoundation@mkandamizaji
Tunawashukuruni nyote mliotuunga mkono katika kuwafariji watoto yatima waliopo katika kituo cha Uwemba mkoani Njombe.
#Giving_is_the_Greatest_act_of_Grace
Tunawashukuru wale wote mliojumuika nasi siku ya jana kwa namna yeyote ile,katika "HELP THE CHILD PROJECT" iliyofanyika COMPASSION FOUNDATION...Mwenyenzi Mungu awabariki sanaππππ @moodewji@YouthShade@DewjiFoundation@abdulazackabdul