My dear fellow brother, Katika harakati za kutafuta Mke mwema waepuke sana wanawake ambao wana jilipia Kodi na wana kila kitu ndani..
Watakuumiza kichwa na Moyo maana wanapenda mamlaka na wamezoea uhuru ulio pitiliza.
Na wengi wao wapo kwenye maombi ya kupata ndoa.
@Jambotv_@SuluhuSamia@jmkikwete@nchimbie
Mmepora haki ya Wananchi kuchagua Viongozi wanao wataka.. kisha mkawaua kikatili...
Kwenu kuona makaburi ni heri kuliko kutenda Mema..
Amin ninawambia Muda wenu hautapita kabla hamja adhibiwa Kwa maana ardhi imelaaniwa kwa ajili yenu
Zab 58.
@Mrsdaviee Mama Lwakatare aliwahi kuwaombea hadi kwa upepo wa Kisulisuli lakini wapi..
Tatizo sio Wanaume, tatizo ni roho Zilizo juu yao.
Ndoa ya sasa imekuwa ngumu kwasababu Lugha wanandoa imevurugwa, hawazungumzi lugha moja,