@JayleenRickie Hapo nilikua darasa la6 Mwaka 2005 ndo nilisoma hili jarida lkn mpaka leo nina miaka 35 na watoto 7 ila KASEJA yeye anabaki namiaka yake 32 sijui wenzetu Wanakulaga and nini
@fumbokhanJr Nikweli Mzee lkn nibora kuntukana mtu kwenye ukweli ili ajikosoe kuliko kumsifia Mwanaume Mwenzio ili uokote Mwisho wasiku Mtu unaemsifia siku akibadiri maamuzi anakufirigisi Kua Makini