@cleansheet_1@kilepi_tweve Hivi nyinyi si ndio mliokuwa mnasema kila mtu acheze mechi zake?hii milio inatoka wapi sasa,pambaneni na team yenu mchukue ubingwa wa NBC😂😂😂😂😂
@heis_kanny Wanapoelekea watagawa bure ila mimi ninacho mpaka leo na sikilipii maana unalipa afu UCL hauoni sasa c usenge huo,juzi wananipigia simu wananishauri nikilipie nkawaambia kuna nini cha maana dstv wakasema kuna world cup na juakali😂😂
@WideEdson CR7 alitakiwa akae pembeni awaangalie vjana wakitumbuiza,wenzake kina Ramos wamekuwa watazamaji,hana siku nyingi anaenda kutia aibu jina lake