@VitusNkuna Lazima arudi, na sio yeye tu utawaona weengi wanaongea masuala ambayo wananchi wanayataka kwa kioindi chote cha miaka mitano lakini hawakua wanasikilizwa, hiki ni kioindi cha kurudi kwa wananchi na kuongea yale wanayoyapigia kelele siku zote ili wawape kura.
@JonMrema@lifeofmshaba Ndg hembu weka hizo post za hao watu anaowasema hukutoa tamko wala andiko lolote ili tudeal naye, otherwise utakua na agenda yako kwenye hili la kiongozi wa BAWACHA.
@ReganTesha_ Umenena sana kiongozi, ilibidi nimgoogle maana kila picha niliyoiona ilikua ngeni kwangu, kwenye google sasa ndio nikapata picha iliyonipa kumbukumbu ni nani.