JESUIT Brothers hawajawahi kushindwa kwenye vita. Hakuna Mamlaka duniani iliyowahi kushindana na Jesuit Brothers ikabaki salama. It is a complex VATICAN machine. Naomba mtunzee hii tweet. Sumai, mamluki toka Zanzibar NA Kenge wote waliokutuma, keep this tweet.
Ni kweli
Watanzania tuko na Senete ya Marekani
Samia na vikaba wachache ndio wanajifanya wao wana msimamo tofauti
Trump anatakiwa chukua huyu Samia kwa mauaji , wamchukue tu
Jaji Kiande hajaanza leo kutumika kudidimiza wananchi.
Anatumika na makampuni ya uchimbaji madini kutoa ushahidi ktk mahakama za kigeni kuwa:
- Hakuna mauwaji ya raia migodini.
- Mahakama za TZ ziko huru.
Alichofanya jana si kipya.
Jaji Kiande hastahili heshma yoyote.
MAHAKAMA YA WILAYA BUNDA IMEACHIA WANACHAMA 14 WA CHADEMA, 7 WATAJITETEA
Nawafahamisha kwamba Mahakama ya wilaya Bunda imewaachia wanachama 14 baada ya kukuta hawanakesi ya kujibu.
Katika uamuzi wake wa leo mahakama imesema upande wa Jamhuri umeshindwa kuonesha uhusika wa watuhumiwa na hivyo imewaachia huru.
Ikumbukwe kwamba, watuhumiwa wote walikaa ndani kwa kosa la armed robbery na leo mahakama imesema ushahidi haukugusa makosa yao na hivyo ikawaachia huru watuhumiwa wote kwa makosa hayo.
Watuhumiwa 7 waliobaki tu nakamilisha dhamana zao, Mungu akipenda soon tutakuwa nao mtaani leo au asubuhi sana kesho.
Sijawahi kufanya video kwa ajili ya Chadema hii ndio ya kwanza.
Chadema tunaomba msituangushe kwenye hili. Watanzania tumezika watu kwa ajili ya haki sio kwa ajili ya Lissu kutoka ndani au kwa ajili ya Chadema kufanya siasi.
Thank you Senator 💪🏽
We have been advising even against leisure travel - tourism for visitors! The security forces have literally shut down the country illegally with restricted movements, barricades and searches as if we are at war while in reality the illegitimate govt is at war with its people! This creates uncertainity and instability and @SuluhuSamia is not ready to meet the demands of the citizens which includes her resignation!
We march on #SamiaMustGo #D9+ and Justice for the victims of #TanzaniaMassacre
@swahilitimes kama kazi ya hiyo kamati ni ipii mpaka ifanyiwe analysis na media za nje zipewe riport sasa si bora mngewapa hizo media za nje kazi ya uchunguxi