๐จ Cristiano Ronaldo: โIโve won ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ with Portugalโ. ๐ โBefore Cristiano, ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐!โ
๐จ ๐๐๐ ๐๐๐๐๐
โThe truth is that I am deeply ๐๐๐๐๐๐ ๐๐ to my teammates and I am very happy to compete alongside themโ ๐ซโจ
โThanks to this team and these teammates, I can be at another World Cup today and I can keep competingโ ๐ฅน
TUTAFAKARI KIDOGO MAREFA WA MECHI YA ARGENTINA VS EGYPT
REFA: Franรงois Letexier ๐ซ๐ท France
KIBENDERA 1: Cyril Mugnier ๐ซ๐ท France
KIBENDER 2: Mehdi Rahmouni ๐ซ๐ท France
VAR: Jรฉrรดme Brisard ๐ซ๐ท France
AVAR 1: Willy Delajod ๐ซ๐ท France
AVAR 3: Van Driessche ๐ง๐ช Belgium
Kwahiyo Wafaransa waliibeba ARGENTINA? ๐
Msanii wa vichekesho LEONARDO, WALEVI WA ILE BAR wanadai kuwa kampuni ya mtandao wa simu ya blue na njano ilimlipa kiasi cha milioni 33 za kitanzanis kama malipo ya ubalozi/influencing.
๐Daaah aiseee๐ญ๐ญ๐น๐ฟ
Huyu si ndiye Kihongosi Mwenezi wa Neck ya Wana Lumumba CCMโ๏ธ
Huu ni unyama๐ญ๐ญ
Huu ni udhalilishaji๐ญ๐ญ
Huu ni utumwa๐ญ๐ญ
Tukiitisha Maandamano muwe mnatuelewa,hatuwezi vumilia unyama kama huu๐ญ๐ญ
๐ ๐๐
Portugal ๐ต๐น
โข Colombia
โข DR Congo (Congo DR)
โข Uzbekistan
Ukapewa hii chance uwe wa kwanza kwenye kundi
Manake baada ya hapo ungecheza na
-Ghana 32 bora
-Switzerland 16 bora
UKASHINDWAAAA
FIFA kosa lake nini ๐
Watanzania @HecheJohn na @TunduALissu wanatuhitaji kupita kiasi.
Heche anapigwa vita sababu kuna viongozi ndani ya Chadema wamefika bei ya maridhiano na CCM so wanajaribu kumuondoa Heche ili waweke mtu ambae atafanya maridhiano..
Ningeomba kila Mtanzania afikirie kwa kina na kisha tutoe mawazo yetu nini kibadilike kwa wanaharakati.
Mimi personally naona kama wanaharaki wengi harakati zao zinaharibu movement kuliko kupeleka movement mbele.
Just because tuko same side doesnโt mean tuangalie tu pale some of us kazi wanayofanya ni more damaging to the movement kuliko kusaidia movement.
Yani mpaka naona kama kunahitajika training ya wanaharakati kufanyika au labda kuwe na group la wanaharakati ambapo kabla mtu hajaposti upuuzi wowote ambao katumiwa DM anatuma kwenye group then wanaharakati wengine wanatoa mawazo.
Too much fake news na ukurupukaji wa habari kitu ambacho sasa kinafanya wanaharaki wote tuonekane waongo with zero credibility.
Yani wao kila kitu anachotumiwa DM wanaruka nacho without thinking.
Hakuna strategy ya mapambano hakuna matumizi ya akili, hakuna strategy ya kuondoa wananchi uwoga na kuwawekea safe space ya kukutana na wananchi wenye fikra kama zao. Hakuna effort ya kujenga sailoji ya wananchi ni kuposti upuuzi wanaokota okota huko.
Wanaharakti wengi are killing the movement instead of advancing it kwa sababu ya ukurupukaji.
Hawajui hata target audience yao ni nani na jinsi ya kuwatengenezea safe space kwenye platform zao. Wao wanadhani the whole of Tanzania is their target audience, hapana target audience ni Watanzania wanaodai ha tu.
Naomba tushauriane jinsi ya kudili na hili tatizo.
Mfano I saw 3 huge mistakes just this last week alone, tena wiki ya maandamano, Story ya kimama kukimbia nchi, then akajitokeza kuwaharibia credibility kwa wanancji, ile barua feki ya wanafunzi wa vyuo vikuu na mbaya zaidi ile ya jana usiku wa manane wanaharakati wanaposti na kuriposti habari ya kuwaarifu Watanzania kuwa wauwaji wa KMKM kutoka Zanzibar wameingia bara na kuvalishwa nguo za polisi, really, hii ndio message ya mwisho wanaharakati kuwapa waandamanaji??? So CCM wawape habari za kutisha na nyie pia muwape za kutisha.
Alafu naomba mnisamehe kwa ambao nitawakwaza. Sio kama nataka kuwa kiongozi wa movement au kujifanya mjuaji na wengine hawajui, hapana hakuna kiranja kwenye hii movement, wote tuko sawa ila lazma turekebishane la sivyo hakuna mwananchi atatoka kuandamana kwa kuhamasishwa na watu ambao hawana credibility!!!! THIS IS WHY NAONGEA!!!!!!!!! Bila kujenga credibility na uaminifu na u-seriousness na kujenga saikolojia za Watanzania hakuna Mtanzania atatoka kuandamana tena, watakuwa wanafanya maandamano ya kukaa ndani, which is not enough
๐จ๐จ Juliรกn รlvarez on his future: โIโm thinking about the quarter-finalsโ.
โWe have some very important matches coming up now, so thatโs where my focus isโ.