@themonk_tz @SammyMacha1 @Kiwa09979657 @jokateM The grades may be everyone's dream but that doesn't mean they're passionate about a particular field. Some students wanabeba science mpaka Form 4 ili wapate muda wa kufanya maamuzi . Kwaio ikitokea akafaulu haimaanishi kwamba ndo anataka kusoma hizo combination.
@FrancisOle5@IdrisSultan Jamani hakupost ili kuleta chuki. Ni kwamba alitaka Sisi Wakristo tusfumbie macho hizi "False doctrine" ambazo at the end of the day , zitatupoteza kiroho. Imeandikwa " Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa..." ๐๐พโโ๏ธ
@EricPuf @IdrisSultan Freedom of worship doesn't mean you should have blind faith. Tolerating such lies make our faith questionable because it seems we embrace them. So as a Christian , you should be careful to point out and rebuke false doctrine instead of cowering in the face of false teachings.