kwa vijana wote wenye akili na karama zinazowawezesha kufanya vitu vingine lakini wakaamua kuingia kwenye siasa, hususan za upinzani, asanteni sana. nyinyi ndo tumaini la taifa hili, na tunashukuru kwa kujitoa kwenu:
@Six24436949@shazi_vurugu@zoetjesheeftX Waislam tumeshawahi kisaidiwa na wasiokuwa waislam na Mtume mwenyew aliwaambia maswahaba nendeni Ethiopia Kuna kiongozi mkristo ila ni muadilifu atawasaidia, so kwenye msaada hapo sioni kama kuna tatzo ila kwenye Msikiti kuwa wa utalii hilo ni tatzo