Tanzania Association of the Deaf popularly known by its Kiswahili acronym “CHAVITA” (CHAMA CHA VIZIWI TANZANIA) is a non – Governmental Organisation (NGO).
Kikao cha kuweka mkakati wa urasimishaji wa tansia ya ukalimani wa lugha ya alama Tanzania huku naibu Waziri ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu wa Watu Wenye Ulemavu) Mhe. Ummy H. Nderiananga Akisisitiza umuhimu wa kuharakisha urasimishaji wa tasnia ya Ukalimani wa LAT
Happy International Women’s Day
We celebrate the strength, resilience, and leadership of Deaf women who continue to break barriers and inspire change
Together, let’s uplift voices, break barriers, and champion equality for all.
kikao cha pamoja cha wadau na Serikali kujadili tathimini na ufuatiliaji wa mwaka wa kwanza wa mahusiano ya ushirikiano wa maendeleo baina ya CHAVITA na Chama Viziwi cha Norway (NDF).
Ungana nasi kwa taarifa zaidi kwenye video fupi
Taasisi inayojishughulisha na masuala ya ushauri wa kilimo cha biashara kutoka nchini Norway Norgesvel ikikusanya maoni kutoka kwa watu wenye ulemavu kuhusu namna bora ya kuongeza fursa na ushiriki wao katika shughuli za kilimo.
#chavita#tanzania#norway
Kikao cha mashauriano kati ya CHAVITA, NDF na Maafisa wa Ubalozi wa Norway jijini Dar es Salaam, kikilenga kuimarisha ushirikiano wa kiufundi kwa maendeleo ya jamii ya Viziwi Tanzania. 🇹🇿🇳🇴
#CHAVITA#NDF#NorwayInTanzania#Deaf#embassy
Wiki ya Kimataifa ya Viziwi inakaribia!
Tumeshaanza kuhesabu siku! Wewe je?
Ikiwa kaulimbiu ya mwaka huu ni
"Ungana nasi Kutetea Haki za Lugha ya Alama," uko tayari kuungana nasi tunaposherehekea wiki yetu maalum?
#internationalweekofdeafpeople
The Tanzania Association of the Deaf (CHAVITA) wishes the Muslim Community well over the blessed month of Ramadan.
May this holy month be spiritually enriching and may you be blessed with prosperity.
Issued by
National Chairman
12.03.2024
TANZIA: Uongozi na wanachama wa Chama Cha Viziwi Tanzania (CHAVITA). Umepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa hayati DKT, John Pombe Joseph Magufuli.
#RIPHayatiMagufuli