One of the most important lessons Akira Toriyama taught us in Dragonball is that simps get punished
Yamacha died protecting Bulma and the earth only for her to end up in love with Vegeta the guy who wanted to destroy the earth
And even when he was resurrected with the dragon balls, he was never the same. He went from being one of the strongest characters to the weakest characters. To make it worse Bulma makes fun of his weakness
A very important lesson - as a man never go above and beyond for a woman. A woman is incapable of appreciating your sacrifices, she's only loyal to her feelings
The same woman you're sacrificing for, will one day leave or cheat you. And if you ask about your sacrifices she'll ask you in return "did I force you?"
Learn OR perish!!!
@CharlesLuk4042@EsirEid@mwigulunchemba1 Pia, hiyo migodi, gesi kwanini sisi hatufaidiki kama wenzetu wa falme za kiarabu,
Yani haiwezekani nchi yetu iwe na migodi na gesi Halafu percent (%) inayoenda kwa serikali ni ndogo,
##Ni bora hizo rasilimali tungemilik wenyew tu.
@Sirjeff_D Bro Kumbuka kuwa pesa yetu ilishuka thamani pale kwenye ecomic depression ya 1980's ambapo IMF walitusaidia kuinua uchumi wetu wakatupa kipengele cha devaluation of currency (thamani ya Tsh) ikashuka
Note ##Ndiyo mana Kenya na Rwanda wametuzidi ila hao bila ile issue wangesubiri
@EsirEid@mwigulunchemba1 Fluctuation za commodity changes, nA kubadilika kwa masoko ya kimataifa Kuna leta vitu kama hivi
Note:More investors, foreigners, tourists wao ndo wana asilimia kubwa ya kuongeza dollar nchini sas serikali inaweza ikawa inakopa fedha interms of dollars pia
@EsirEid@mwigulunchemba1 Ila kama nchi ikitumia dollars kwa kiasi kikubwa kuimport bidhaa mfano kwenye ujenzi wa SGR na Bwawa la nyerere na miradi mingine ya serikali kama iliwacost kutumia kiwango kikubwa cha dollar lazima kuwe na uhaba
@rollymsouth Nazani ile ndo project ya NSSF ambayo imeachive,
Mimi naona wamefanya kama sehemu ya kuongeza fund(stability) ya mfuko
ukizingatia hali ya mifuko yetu Kuna miaka serikali ilikuwa inakopa Sana na kupelekea mifuko kuwa na shida +Kuna project NSSF ziliwapelekea loss (hasara)
@rollymsouth Ambapo mradi uligharimu $136 million,
Nakumbuka hadi 2018, NSSF walikusanya billion 19.7 kama makusanyo ya tozo ya kupita darajani pale Sasa hadi Sasa sijui wamekusanya kiasi gani, Kama wametumia Tsh billion 300 na point zake, (so hapo wapate faida yao), f
@Daily_1995@citizentvkenya So all formers president they didn't being in a pot of corruption cabinet,
You guys you have to be specific is it corruption or jobs that you want
Salary reduction to mps, and whatever