@MrDepalitto9 Hii ni antibiotic inayotumika kutibu maambukizi ya bakteria kama:
Maambukizi ya mapafu
Maambukizi ya njia ya mkojo
Maambukizi ya ngozi
Maambukizi ya damu
Maambukizi ya sehemu za siri
Inatumikaje?
Hutolewa kwa sindano
Sio dawa ya kunywa.
@EduTalkTz Injili ziliandikwa takriban miaka 30β70 baada ya Yesu kuzaliwa.
Hakuna ushahidi wa nje Biblia unaothibitisha moja kwa moja tukio hilo.
Neno la Kiebrania kwenye Kitabu cha Isaya (almah) linamaanisha msichana kijana Yan Mwanamke Ambae hakuwahi kuzaa neno bikra limeongezwa tuu.
@tagatojtagato Unadhani Mangungu kinachomfanya aone Bora lawama kuliko kuachia uongozi ni Kwamba ni upendo mkubwa sana kwa timu au ni maslahi yake binafsi