Life lesson kubwa nawakumbusha kila siku humu, ni nadra watu kuhairisha mipango yao kisa wewe unahitaji msaada wa kifedha.
Sijasema wapo ila ni wachache sana.
Mchongo huu hapa kwa wanachuo Tantrade anawaita mkafanye kazi za Muda kwenye maonesho ya saba saba!
Watumie maombi hapo alafu kashiriki kwenye maonesho ya kimataifa ya biashara!
✊🏾