Staffroom yetu inakaa kama store, halafu meza zimegongelewa ukutani🤦. Kuna uwezekano ni zile ambazo mafundi walitumia kutengenezea slab zikabaki hivyo.
@Chep_hiker Na mimi niseme nini,,Sina staffroom markings and everything nafanya kwa bench iko verandah nje ikinyesha ndo naingia one of the classes ,, my books nazieka kwa locker ya mwanafunzi I trust
It's hard working in this kahutini