Wakenya (Wenye NCHI) wametoa siku 7 Kizza Besigye (Uganda) na Tundu Lissu (Tanzania) waachiwe huru.
Kinyume na hapo BALOZI za "Tanzania & Uganda" zilizopo Kenya watazifunga.
Huu ndio undugu-asanteni Familia.🇰🇪
REPOST 200
Leo Wanaharakati wa Kenya wameandamana hadi Ubalozi wa Tanzania na Uganda nchini Kenya, wakizitaka mamlaka zimuachilie huru @TunduALissu na Kizza Besige, wanaharakati hao wameipa masharti Serikali ya Kenya.
Wanaharakati wa Kenya wamesema @kizzabesigye1 alitekwa nchini Kenya akapelekwa Uganda na kufunguliwa mashtaka ya UHAINI.
Wanaharakati hao wametishia kufunga Balozi za Tanzania na Uganda katika maandamano yajayo leo wametuma salaa tu.
REPOST 200
Mwenyekiti Tundu Lissu amesema hataki upumbavu wa kutembelewa usiku gerezani. Hataki vikao vya gizani. Yupo tayari kuishi gerezani hadi haki ipatikane, kwa kuwa anapigania haki, yupo tayari gharama. Kama unampenda sana, njoo mahakamani. #FreeTunduLissu
@Savasec usiwe msenge sasa.
Anaendesha boda, huyo anapata deals za udalali hapa na pale, anajua demu wako anakotombwa, anajua wapi kunapatikana nini na nini, flani ana uhitaji n.k
Bodaboda wengi wa mijini walioamua kufanya maisha wana hela sana sababu wanachokitaka ni pesa na sio KAZI
Shahidi MBABE kuliko WAKILI 🤣
Wakili: Una Akili timamu?
Shahidi: Nina akili timamu kuliko wewe na bosi wako
Wakili: Unajua asiye na akili anatabia ya kuijiona ana akili kukiko wenzie?
Shahidi: Hapana asiye na akiili anatabia ya kuuliza sana wenzie kama wapo timamu.
Wakili; Naona ile kauli mbiu yenu ya tumtetee kwa nguvu zote
Shahidi: Na wewe ya kwako na mabosi zako tumfunge kwa nguvu zote.
#TajiriLaKihaya
Mimi bhana Tofauti yangu na SATIVA ni kwenye kamari na UTAPELI tu….
Ila kwingine sina kinyongo nae…na ni mambo ya ONLINE tu… Hata kama KaniBLOCK lakini nkikutana nae Live tutasalimiana,kula na kufurahi na ndio
Maana mm sija BLOCK BACK.
Tatizo letu sisi watanzania tuna DOUBLE STANDARD saana na kila siku na waambia…
Yaani saa hizi kila mtu anasema SATIVA anatumia lugha mbaya kwa Polisi na viongozi Lakini Hakuna mtu anaelaumu mamlaka kwa nini hadi leo siku 150+ zimepita kwa nini hakuna taarifa yoyote kuhusu Utekaji wake?
Hata kama sio polisi ndio walimteka au iwe wao kuna taarifa yoyote wametoa ya kukana au kuwakamata?
Binafsi nafikiri kimya chao ndio kinaleta issue yote hii… taarifa ya uchunguzi hadi leo haijatoka!
Mm ningemuona Sativa ni mwehu endapo kama mamlaka ingewashika wale wote waliomfanyia dhulma hio na kumpa haki yake alafu bado anatukana!
Though sipendi matusi anayotoa hata mm kanitukana saana lakini siwezi mlaumu… maana mm na wewe hatufaham alipitia kadhia gani siku zote zile akiwa ametekwa!
Labda risasi ilivuruga akili hatujui…
Binafsi namuombea Mungu ampe Shifaa na ulinzi…
Sina UNAFIKI wa kumuombea kijana mwenzangu mabaya…
HATUJUI KESHO YETU!