MIZIMU UKIOMBA INAKUSIKIA SAFI KABISA !!
Watu Wengi Hawataki Kuamini kuhusu MIZIMU lkn Nikwamba Mizimu ipo na Kila Ukoo Wana MIZIMU Yao
Kama unapitia Changa moto Za Kimaisha Mimi Nakutuma ludi kijijini kwenu Katoe Sadaka ya MIZIMU
Watu wanalindwa na mizimu Bila wao kujua Amini
@Abraha1Brighton Hata wanaoanguka mapepo, wengi wao wanasumbuliwa na mizimu.
Ila kwa kuwa wameaminishwa kuwa ndugu zao ni mashetani, ngoja wahuni wanunue ndege.
@BarakaMaviatu Hayo ndio madhara ya dini
Na tulivyo wehu mtoto atapewa jina kanisani au msikitini ambalo hana uhusiano nalo, hilo hilo ataandikishwa nalo shuleni na katika vyeti vyake muhimu
huwa najiuliza ni kwann mtu akianza kusali/kuswali anapewa jina jingine, kwann asitumie la ukoo wake?