Nalindwa na duaa za mama yangu alienizaa
ananilinda ananiombea kabla sijakuwa star
Nina luv kwa kitaa kokote nakaa,
ukinitaja iwe kwa zuri au ubaya mi ntangβaa
nabado mtaniskia buster rhymes wa Tanzania
king kong chidi benz la familia aminia
Luv kwa wanangu mlioko jela mnachapika
#NUKUU "Mimi na
@P_Majani
tumezaliwa mwaka mmoja namuheshimu na kumthamini sana, naamini yeye ndiyo producer bora duniani , ndiyo maana nimemuweka "Profile Picture" katika mtandao wa
@instagram
hata ukija studio kwangu utaona picha yake nimeiweka ukutani " @dully_sykes
Shoutout to the incredible @PearlThusi and @KagisoLediga for hanging out with #FreshOn947π Catch #QueenSONO's first episode on 28 February on @NetflixSA! Here's what you need to know about the exciting new show: https://t.co/6M332Vbgqs
@HKigwangalla@aliciakeys Amepatia Ni Hatua Kubwa Sn Kwenye Mziki Wetu Ni Wakati Wenu Km Serikali Kutuwekea Miundo Mbinu Mizuri Zaidi Ili Serikali Ipate Faida kwenye Mziki Na Msanii Pia Afaidike Na Anachofanya #TanzaniaToTheWorld
Mengi Mnayoongea Hayafanani
Mnashindana Nikiwashinda Mnasema Nawaonea.
Kila siku Magazetini Mbaya mimi Mbaya mimi
Siku ya mwisho Tanzania inanitunuku Tuzo Mimi
Still Niko Hood La Familia Ilala
#lafamiliatz#WakutakataInc