Netflix stock has plummeted after announcing their โMichael Jackson: The Verdictโ documentary - and the shares are still dropping even after the release.
Kwa sasa Dunia imebadilika sanaโฆ
Kabla hata hujaingia kwenye mahusiano ya kimapenzi na mtu, inabidi kwanza ukae chini umuulize:
โUna maadui wangapi?โ
Sio kwa utaniโฆ bali kwa kujilinda.
Maana unaweza ukafikiria unaanza safari ya mapenzi, kumbe umejiunga na vita usivyojua.
,@wagosiwakaya (MKOLONI),Joh Makini ,na wengine wengi ,lakini yeye pia alitaarisha album Classic ya @ramadeeofficial ya โChini ya Uvungu wa Moyo wanguโ yote ambayo ni moja ya Album bora za muda wote za R n B nchini.
Jors anakuja leo kuyajenga nasi mambo mbali mbali ya muziki๐๐พ
Ubebe mzigo wa changamoto zako au usubiri huo mzigo uje kukuangukia, umia kwa kuchagua kabla hujaja kulamizwa na maisha kuumia, kubeba mzigo kwa hiyari kuna saidia kujijenga kitabia na kisaikolojia, lakini mzigo wa kuja kulazimishwa na maisha unaitwa stress na ni mzito sana