Inasemwa rais wa Belarus ameshiriki vikao vya upatanishi baina ya Yevgeny na Putin
Baadae ikasaambaa message kwenye magroup ya telegram nchini russia yakielezea makubaliano yaliyofikiwa.
Kuwa lilifanyike lolote kulivunja kundi hilo wala watu wake kushitakiwa
Wagner wakaiteka kambi ile na kuanza kusonga kuelekea Moscow,
Putin akatangaza kitendo kile ni uasi ambao atapambana nao vikali na kutoa adhabu kali kwa wahusika
Alifikiri utani,
Jamaa wakazidi kusonga mbele
Putin akiondoka Moscow
Ndio maana ilionekana picha bwana Yevgeny akiongea kirafiki kabisa na makamanda wa jeshi la urusi kambini pale bila matumizi yoyote ya risasi masaa ya mwanzo ya mapinduzi.
Picha hii ikawaaminisha watu kuwa kuna wanajeshi wa Urusi wameungana na Wagner
Ndipo yeye akatake advantage kwa kuvamia Makao Makuu ya jeshi kusini mwa Russia mjini Rostov
Actually kambi hii ilikuwa ni base ya “Operation Ukraine” hivyo hata Wagner group walikuwa wanaingia na kutoka kirahisi kambini hapa
Naam!
Alilalamika kuwa waziri wa ulinzi alitumia uongo kumdanganya rais Putin kuhalalisha uvamizi Russia nchini Ukraine kuwa NATO ilipanga kutumia nchi hiyo kuishambulia Urusi.
Kesho yake ndio kikosi chake kikashambuliwa na wanajeshi wa Urusi.
Yevgeny akakanusha taarifa hizo siku mbili baadae kwa kusema kundi lake lina idadi ndogo ya wapiganaji kuweza kupindua nchi bali hayo yanawezwa kufanywa na waziri wa ulinzi.
Juzi tarehe 23 june, Ikasambaa video ikimuonesha Yevgeny akilalamika.
Mwishoni mwa mwezi huo mwanajeshi wa zamani wa Urusi bwana Igor Girkin akatoa tuhuma kuwa Wagner group wanapanga mapinduzi.
Akasema pia kiongozi wa kundi hilo anakiuka sheria uwanja wa vita
Huyu alikuwa pia ni kachero wa FSB
Lakini Putin hakumgusa kabisa “mpishi wake”
Tarehe 5 May mwaka huu, Yevgeny alitangaza jeshi lake litaondoka vitani Ukraine kwa kuishiwa risasi.
Akamshambulia tena waziri wa ulinzi na mnadhimu wa jeshi nchini kwake wao wamekaa ofisini wakinenepeana kama paka wakati vijana wake wanakufa wakipigania nchi yao Ukraine.
Tarehe moja October mwaka jana, Yevgeny alinukuliwa akisema maafisa wa juu wa jeshi hilo wanapaswa nao kushika bunduki na kwenda mstari wa mbele kwenye vita vya Ukraine na sio kukaa tu vikaoni.
Hakuna mtu Urusi anayeweza kukosoa jeshi bali rafiki huyu wa Putin aliweza.
Kundi la Wagner hasa kiongozi wake, hawezi kabisa kumgeuka rais Putin
Shida ipo baina ya kundi hili na uongozi mzima baina wizara ya ulinzi Russia hasa waziri wake Sergei Shoigu
Chokochoko baina yao zilianza siku nyingi kama ifuatavyo