@grok@mwanasheriaT@ikulumawasliano Ukiachana na hilo neno kulingana na chapisho rasmi la Ikuru.Kiuhalisia picha hizi ni kweli zimepigwa leo au ni kabla ya leo?
@Sativa255 Kwanini hayo mavyuo na maelimu yenu ya kikoloni mnaona ndio kila kitu? @Sativa255 nakukubali sana na harakati zako lakini kwenye hili la kumzodoa mtu kisa makaratasi mnayoita vyeti ni kutokujitambua na kuutambua ukuu wako wa ndani usiotegemea hayo makaratasi!!
@DuniaSlaveDunia Sasahivi naona Kahama mabango ya kumpamba Cherehani ndo mengi kwa vijana wasiojitambua.Lakini Kahama kuiweka kwenye mstari inahitaji nguvu za ziada aisee.Watu ni hawajielewi halafu waoga sana.2020 nilipiga kura pale Sokora majengo sitasahau kilichotokea duuh!!
@Exquisite_255 Kwani wewe unajua nini kuhusu Mungu,ukitoa yote uliyosoma kwenye Biblia au Qura'n? Unajua nini juu ya Shetani nje na ulichosoma kwenye Biblia na Qura'n?
@Exquisite_255 @samokher24 Unajua hakuna mpotoshaji kama wewe? Hiki unafanya ni ujinga uliokithiri,unapinga sayansi unapigia debe dini!! Una akili kweli?
@Exquisite_255 Kwahiyo mtu akinenepa au kubadili style ya muonekano au akiongezeka umri na kuleta mabadiliko katika mwili wake tayali na clones? Acheni hizo habari zenu za kusadikika kama uwepo wa Yesu bhana.
@Exquisite_255 @kiddo_174 Lakini walioandika ndio wanao yaleta hayo pia.Kwa tunaojua mambo jinsi yalivyo ni wazi hata wewe upo kwenye mtego wao japokuwa unajifanganya kwa maelezo na imani yako
@Exquisite_255 Wakati wanaandaa Biblia na Quran walikuwa katika maandalizi ya haya mambo uliyoelezea hapa,Biblia na Quran na dini havikuja kwa bahati mbaya bali ulikuwa ni mpango wa kurahisisha utawala wa serikali moja duniani na sasa wanaenda kufanikiwa punde.