Inatokea Umekwama Mahali Halafu Ukamuomba Mwana Akupige Tafu Mfano Shilingi 20,000 Kwenye Simu Yako Halafu Wewe Kwa Wakala Ukaenda Kutoa 18,500,
Hakikisha Na Usisahau Wakati Unamrudishia Huyo Jamaa 20,000 Yake Mtumie 22,000 Ili Yeye Atoe 20,000 Yake Aliyokutumia,Usimpe HASARA.
Economists 👔📈 say that an economy's resources are used efficiently when they are used in way that has full exploited all opportunities to make everyone better off.
Na huu ndo uchumi Sasa. Yani kwanzia kutumia mazingira yaliyopo kwaajili ya kizazi kilicho na kijacho.🌻🇹🇿
Just what does it mean to use resources efficiently?.🤷🤷
Many people imagine that the efficient use of resources has something to do with money. Either Dollars or cents terms.😪😂
But in economics as in life money is only means to other enda🌻
Ndo shida ya kampuni zina fikiria only katika profit maximization na kusahau humanity Ila kwa kampuni unaona Kama space x wamewapa share watoto wote wa Taifa la marekani.
Microsoft inataka kufukuza wafanyakazi wake
60000
Hii ni 27% ya wafanyakazi wote wa kampuni
Ila hawa wanafanya kijanja. Wanawapa na kitita [buyout] hadi December wawe waleshatoka.
Netflix majuzi walifukuza.
Makampuni mengi yanapunguza wafanyakazi.
It's happening.
Sheria namba saba ya uchumi inasema.
"Resources should be used as efficiently as possible to archive society's goals".
-Rasilimali zinapaswa kutumika kwa ufanisi wa Hali ya juu kadri iwezekanavyo ili kufikia malengo ya jamii.
Je rasilimazetu zinatumika kwa usahihi??.
Kuna stage kwenye maisha inaitwa “Quiet Ambition.”
Ni ile,
Huelezi mipango yako.
Hutangazi kila hatua.
Hutaki kila mtu ajue unachofanya.
Unafanya kazi zako kimya kimya.
Unajifunza.
Unapanga.
Unajenga.
Unataka matokeo yako
yaseme yale ambayo hukuyasema.